Habari zilianza kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikimhusisha mmoja ya Wanachama wa CCM, Balozi Juma Mwapachu kuhama CCM.
Taarifa iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchi imethibitisha Balozi Juma Mwapachukutangaza kujitoa CCM >>> “MWAPACHU ATOKA CCM: Kada wa CCM Balozi Juma Mwapachu leo ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, adai chama kimepoteza dira, hajaamua kujiunga chama kingine“>>> Hiyo ni nukuu ya stori iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi.
0 comments: