|
Jana ilikuwa ni siku ya msichana au mtoto wa kike duniani,na mke wa rais wa nchi hiyo Michelle Obama hakusita kuonyesha mapenzi ya dhati kwa siku hiyo kupitia mitandao mbali mbali. |
Michelle alipost nyimbo ambazo zinasaidia kampeni inayohusu siku hiyo ambayo inaitwa "Lets girl learn"ambayo inachochea watoto wa kike kusoma duniani kote.
Baadhi ya wasanii waliowekwa na nyimbo zao ni kama Stevie Wonder,John Legend, The Rolling Stones,Alicia Keys’ “Girl on Fire,” BeyoncĂ©’s “Run The World (Girls)” and Demi Lovato’s“Confident.”
Cheki playlist ya Michelle hapa:-
0 comments: